Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Maudline Cyrus Castico mara alipowasili katika viwanja vya Fumba Mji mpya katika ufunguzi wa Maadhimisho ya Maonesho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyofanyika leo,[Picha na Ikulu.] 18/11/2019.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Maudline Cyrus Castico mara alipowasili katika viwanja vya Fumba Mji mpya katika ufunguzi wa Maadhimisho ya Maonesho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyofanyika leo (wa pili kulia) Naibu Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Hassan Khamis Hafidh ,[Picha na Ikulu.] 18/11/2019.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akitoa hutuba ya ufunguzi wa Maadhimisho ya Maonesho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyofanyika leo katika viwanja vya Fumba Mji mpya (kulia) Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Maudline Cyrus Castico (kushoto) Naibu Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Hassan Khamis Hafidh ,[Picha na Ikulu.] 18/11/2019.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika maonesho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyofanyika leo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa hutuba yake katika viwanja vya Fumba Mji mpya mkoa wa Mjini Magharibi. [Picha na Ikulu.] 18/11/2019.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Maudline Cyrus Castico wakiangalia Gazeti la Zanzibarleo alipotembelea madanda ya maonesho ya wajasiriamali baada ya kuyafungua rasmi Maadhimisho ya Maonesho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyofanyika leo katika viwanja vya Fumba Mji mpya Mkoa wa Mjini Magharibi ,[Picha na Ikulu.] 18/11/2019.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Maudline Cyrus Castico wakifuatana na viongozi wengine wakati alipotembelea madanda ya maonesho ya wajasiriamali baada ya kuyafungua rasmi Maadhimisho ya Maonesho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyofanyika leo katika viwanja vya Fumba Mji mpya Mkoa wa Mjini Magharibi ,[Picha na Ikulu.] 18/11/2019.