Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA RAIS WA KAMATI YA OLIMPIKI...

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA RAIS WA KAMATI YA OLIMPIKI ZA OLIMPIKI ZA AFRIKA.

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Rais wa Kamati za Umoja wa Olimpiki za Afrika Bw.Mustapha Berraf kulia akiwa na Ujumbe wake walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo 17-11-2019.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimia na kuagana na Rais wa Umoja wa Kamati za Olimpiki za Afrika Bw.Mustapha Berraf, baada ya kumaliza nmazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo,17-11-2019.(Picha na Ikulu)   

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Rais wa Umoja wa Kamati za Olimpiki za Afrika.Bw.Mustapha Berraf, alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake kuonana na Rais wa Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) Kocha Gulam Abdalla, wakati wa hafla ya mazungumzo na Ujumbe wa Umoja wa Kamati za Olimpiki za Afrika walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo,17-11-2019, kulia Katibu wa TOC Ndg. Filbert Bayi.(Picha na Ikulu).