Home Burudani WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS RAIS. MAGUFULI TAMASHA LA MWALIMU ARTS...

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS RAIS. MAGUFULI TAMASHA LA MWALIMU ARTS FESTIVAL 2019

0

Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Ado Novemba akisoma Risala mbele ya Mgeni Rasmi ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe .Kassim Majaliwa( hayupo pichani), katika  Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019, lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akisikiliza simu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli alipopiga kuwapongeza wasanii kwa kuanzisha  tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019, aliyeshikilia simu hiyo ni Rais wa Shirikisho la Muziki Nchini Ado Novemba.

Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na kumkaribisha Mgeni Rasmi katika Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019 ambaye ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Washiriki wa Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019, lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiwahutubia washiriki wa Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019, lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza kwa simu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihotubia katika Kongamano la Sanaa la Mwalimu (Mwalimu Arts Festival) lililofanyika katika kituo cha Mikutano wa Kimatifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam , ambapo Mhe. Rais ameahidi kutoa Tsh Milioni mia moja (100) kwaajili ya Mfuko wa Sanaa. Novemba 15, 2019

 Wasanii na wadau mbalimbali wa Sanaa wakishangilia baada ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Kassim Majaliwa kuongea kwa simu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihotubia katika Kongamano la Sanaa la Mwalimu (Mwalimu Arts Festival) lililofanyika katika kituo cha Mikutano wa Kimatifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam , ambapo Mhe. Rais ameahidi kutoa Tsh Milioni mia moja (100) kwaajili ya Mfuko wa Sanaa. Novemba 15, 2019

  

 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akizungumza katika Kongamano la Sanaa la Mwalimu (Mwalimu Arts Festival) lililofanyika katika kituo cha Mikutano wa Kimatifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam , ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Kassim Majaliwa alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ameahidi kutoa Tsh Milioni mia moja (100) kwaajili ya Mfuko wa Sanaa. Novemba 15, 2019.

Msanii wa Mashairi ya Kughani, Mrisho Mpoto akitoa burudani katika Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019 lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019

Msanii wa Mashairi ya Kughani, Mrisho Mpoto akiingia  kutoa burudani katika Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019 lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.