Home Michezo KAMATI TENDAJI YA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI TANZANIA YAKUTANA ZANZIBAR KUNDAA...

KAMATI TENDAJI YA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI TANZANIA YAKUTANA ZANZIBAR KUNDAA UTARATIBU WA MASHINDANO MASHINDANO HAYO KWA MWAKA 2020

0

Katibu Mkuu Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) Kanali Erasmus Bwegoge akimkaribisha Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Hassan Khatibu Hassan katika Mkutano wa siku mbili wa kuandaa utaratibu wa vikao vya mashindano ya majeshi yanayotarajiwa kufanyika April au May 2020, (kulia) Katibu msaidi Bammata Capten Khatibu Ali Hamdu. Hafla imefanyika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.

Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Hassan Khatibu Hassan akifungua  Mkutano wa kuandaa utaratibu wa vikao vya mashindano ya majeshi katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.

Katibu Mkuu Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) ambae pia ni Kaimu Mwenyekiti wa Bammata Kanali Erasmus Bwegoge akiongoza kikao cha siku mbili cha kamati tendaji ya Mashindano ya Majeshi Tanzania.

Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa Kamati tendaji ya mashinda ya Majeshi Tanzania wakifuatilia mkutano huo.

Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Hassan Khatibu Hassan (wa tano kutoka kulia) katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati tendaji ya Mashindano ya Majeshi Tanzania pamoja na walikwa wa mkutano huo.

Picha na Makame Mshenga KMKM.