Home Mchanganyiko HAFLA YA MAKABIDHIANO YA JENGO LA MAKUMBUSHO KUU BEIT EL AJAIB KWA...

HAFLA YA MAKABIDHIANO YA JENGO LA MAKUMBUSHO KUU BEIT EL AJAIB KWA MKANDARASI YAFANYIKA ZANZIBAR

0

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Khadija Bakari akimkabidhi Mkandarasi wa Kampuni ya C,G,G ya Italia Andrea Kwasolo hati ya Ukarabati wa Jengo la Makumbusho Kuu Beit El Ajaib hafla iliofanyika katika ukumbi wa Jumba hilo Forodhani mjini Unguja .

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Khadija Bakari akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya mji Mkongwe Issa Sariboko Makarani hati ya Ukarabati wa Jengo la Makumbusho Kuu Beit El Ajaib hafla iliofanyika katika ukumbi wa Jumba hilo Forodhani mjini Unguja .

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akizungumza katika hafla ya Makabidhiano ya Jengo la Makumbusho Kuu Beit El Ajaib iliofanyika katika ukumbi wa Jumba hilo Forodhani mjini Unguja .

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo katikati akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali katika hafla ya Makabidhiano ya Jengo la Makumbusho Kuu Beit El Ajaib iliofanyika katika ukumbi wa Jumba hilo Forodhani mjini Unguja .

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akionesha nembo ilio katika moja ya Nguzo za Jengo la Makumbusho kuu ya Beit El Ajaib katika hafla ya Makabidhiano ya Jengo hilo kwa mkandarasi iliofanyika katika ukumbi wa Jumba hilo Forodhani mjini Unguja

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya makabidhiano ya Jengo la Makumbusho kuu kwa mkandarasi iliofanyika katika ukumbi wa Jengo hilo Forodhani mjini Unguja .

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.