Home Mchanganyiko WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KATIKA SHEREHE ZA MAULID MWANZA

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KATIKA SHEREHE ZA MAULID MWANZA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela, wakati akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza, kumwakilisha Rais Magufuli, katika sherehe za Maulid, zitazofanyika mkoani humo. Novemba 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasili, kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza, kumwakilisha Rais Magufuli, katika sherehe za Maulid, zitazofanyika mkoani hapo. Novemba 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)