Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya
Tanzania katika mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za
Afrika na Nordic uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International
Convention Centre(JNICC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo
ya Nje wa Sweden Ann Linde katika ukumbi wa Julius Nyerere International
Convention Centre (JNICC).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo
ya Nje wa Norway Ine Marie Eriksen Soreide mara baada ya kufungua
mkutano wa 18 wa Mawaziri wa nchi za Afrika na Nordic uliofanyika katika
ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Sweden
Dkt. Wilbroad Slaa mara baada ya kufungua mkutano wa 18 wa Mawaziri wa
nchi za Afrika na Nordic uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere
International Convention Centre (JNICC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Nje
wa Sweden Ann Linde mara baada ya kumkabidhi zawadi ya Kamusi ya
Kiswahili na Kingereza pamoja na kitabu cha Kiswahili mara baada ya kufungua mkutano wa Nordic uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere
International Convention Centre (JNICC).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya kinyago cha mpingo Waziri
wa Mambo ya Nje wa Norway Ine Marie Eriksen Soreide kabla ya kuanza
mazungumzo yao katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention
Centre (JNICC).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Finland Pekka Haavisto kabla ya kuanza mazungumzo yao katika ukumbi
wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC). PICHA NA
IKULU