Home Michezo MAN UNITED YAICHAPA 3-0 PARTIZAN BELGRADE EUROPA LEAGUE

MAN UNITED YAICHAPA 3-0 PARTIZAN BELGRADE EUROPA LEAGUE

0

Wachezaji wa Manchester United wakipongezana baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Partizan Belgrade mabao ya Mason Greenwood dakika ya 21, Anthony Martial dakika ya 33 na Marcus Rashford dakika ya 49 kwenye mchezo wa Kundi L UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Ushindi huo unaifaanya Man United ifikishe poniti 10 katika mchezo wa nne na kendelea kuongoza kundi hilo ikiizidi AZ pointi mbili huku ikijihakikishia kuingia hatua ya mtoano ya micbuano hiyo PICHA ZAIDI SOMA  HAPA