Home Mchanganyiko MAJITAKA LAZIMA YATIBIWE ILI KULINDA VYANZO VYA MAJI NA MAZINGIRA

MAJITAKA LAZIMA YATIBIWE ILI KULINDA VYANZO VYA MAJI NA MAZINGIRA

0

Mwenyekiti wa Bodi ya Maji ya Taifa Prof. Hudson Nkotaga akiangalia miundombinu ya kutibu majitaka mkoani Mwanza, lengo likiwa kuhakikisha teknolojia inayotumika ni sahihi na haina madhara katika maji ya ziwa Viktoria. Pichani ni mfumo wa kutibu majitaka wa kiwanda cha Bia Mwanza.

Mfumo wa Kutibu majitaka wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira jijini Mwanza (MWAUWASA), eneo la Sabasaba Mwanza

Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela (kati kati) akiwa na wajumbe wa Bodi ya Maji ya Taifa

Wajumbe wa Bodi ya Maji ya Taifa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela.

Mwenyekiti wa Bodi ya Maji ya Taifa Prof. Hudson Nkotaga akitoa maelezo kuhusu mfumo wa kutibu majitaka na kulinda vyanzo vya maji nchini.