Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA RAIS WA MAHAKAMA YA AFRIKA...

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA RAIS WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINAADAMU IKULU ZANZIBAR LEO

0
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binaadam na Watu.Mhe.Jaji Sylvain Ore, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Ujjumbe wake leo 7-11-2019.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza mgeni wake (kulia) Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binaadamu na Watu.Mhe. Jaji Sylvain Ore, akiwa na Ujumbe wake wa Majaji, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo 7-11-2019.(Picha na Ikulu)