Home Michezo ZAHERA APEWA MIKONO YA KWA HERI YANGA

ZAHERA APEWA MIKONO YA KWA HERI YANGA

0

********************************

NA EMMANUEL MBATILO

Klabu ya Yanga SC imetangaza kumtimua aliekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera pamoja na benchi lake lote la ufundi akibakizwa kocha wa makipa Peter Manyika. 

Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Yanga Mshindo Msolla, wakati Boniface Mkwasa atakaimu kama kocha mkuu wa muda.