MFANYAKAZI wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Ndg. Juma Mmanga akichangia wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa ZBC mnazi mmojaMFANYAKAZI wa Shirika la Utangazaji Zanzibar Bi. Faida Daud akizungumza wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa ZBC TV mnazi mmojaRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar(ZBC) (kulia kwa Rais)Mkurugenzi Mkuu wa ZBC.Ndg. Chande Omar Omar na Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi.Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa ZBC mnazi mmoja ZanzibarRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar.(ZBC) (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar.(ZBC) Ndg. Chande Omar Omar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, mkutano huom umefanyika katika ukumbi wa ZBC mnazi mmoja Zanzibar.WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akizungumza kamla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wafanyakazi wa (ZBC ) katika ukumbi wa Shirika hilo.MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar(ZBC) Ndg. Chande Omar.Omar, akizungumza wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar kuzungumza na Wafanyakazi wa Shirika hilo uliofanyika katika ukumbi wa ZBC TV mnazi mmoja.(Picha na Ikulu)