Home Mchanganyiko MAHOJIANO YA RAIS .DK.SHEIN NA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR ZBC

MAHOJIANO YA RAIS .DK.SHEIN NA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR ZBC

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akijibu suala wakati wa mahojiano na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Zanzibar Ndg,Chande Omar Omar yanayohusu miaka tisa ya Uongozi wake,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu.]02/11/2019.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Zanzibar Ndg,Chande Omar Omar akiuliza suala wakati wa mahojiano yanayohusu miaka tisa ya Uongozi wake,yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]02/11/2019.