Home Mchanganyiko RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BAADHI YA MAWAZIRI, WAKUU WA MIKOA NA...

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BAADHI YA MAWAZIRI, WAKUU WA MIKOA NA WILAYA PAMOJA NA KAIMU MKURUGENZI WA TAKUKURU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli katika kikao cha viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi
za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta alipokutana nao
Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 1, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiagana na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali
zinazohusika na mazao ya  Korosho na Ufuta baada ya kukutana  nao
Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 1, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika picha ya pamoja na
viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika
na mazao ya  Korosho na Ufuta baada ya kukutana nao Ikulu jijini Dar
es salaam leo Novemba 1, 2019
PICHA NA IKULU