Home Mchanganyiko IGP SIRRO AWAONYA BAADHI YA WATU WANAOJIHUSISHA NA WIZI WA MIFUNGO NA...

IGP SIRRO AWAONYA BAADHI YA WATU WANAOJIHUSISHA NA WIZI WA MIFUNGO NA UVAMIZI WA MIGODI 29/10/2019 MUSOMA, MARA

0

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro akisalimiana na baadhi ya wananchi wa
Kata ya Borenga wilayani Serengeti mkoani Mara wakati alipofanya ziara ya
kikazi wilayani humo kwa lengo la kuzungumza na wananchi na kusikiliza
changamoto zao mbalimbali ambapo aliwataka wananchi kuacha tabia ya wizi
wa mifugo na uvamizi wa migodi. Picha na Jeshi la Polisi.

Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Nurdin Babu (aliyesimama) akizungumza na
wananchi wa kata ya Borenga (hawapo Pichani) mkoani Mara wakati wa ziara
ya kikazi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro aliyetembelea wilaya
hiyo kwa lengo la kuzungumza na wananchi na kusikiliza changamoto zao
mbalimbali ambapo aliwataka wananchi kuacha tabia ya wizi wa mifugo na
uvamizi wa migodi. Picha na Jeshi la Polisi.