Home Mchanganyiko SPIKA NDUGAI AZUNGUMZA NA WABUNGE WA BUNGE LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI...

SPIKA NDUGAI AZUNGUMZA NA WABUNGE WA BUNGE LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI BUNGENI JIJINI ARUSHA

0

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai(kulia) akipokelewa na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Martin Ngogi wakati alipowasili nje ya viwanja vya Bungeni leo Jijini Arusha.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Martin Ngogi Ofisini kwake leo Jijini Arusha.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati alipowatembelea leo Bungeni Jijini Arusha.

Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (hayupo kwenye picha) wakati alipowatembelea leo Bungeni Jijini Arusha.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wanne kulia) katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki nje ya Bunge hilo leo Jijini Arusha. Katikati ni Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Martin Ngogi

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)