Home Michezo MAN CITY YAZIDI KUITAFUTA LIVERPOOL KILELENI,YAITANDIKA 3-0 ASTON VILLA

MAN CITY YAZIDI KUITAFUTA LIVERPOOL KILELENI,YAITANDIKA 3-0 ASTON VILLA

0

Ilkay Gundogan akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la tatu dakika ya 70, kufuatia Raheem Sterling kufunga la kwanza dakika ya 46 na David Silva la pili dakika ya 65 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Aston Villa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Kwa ushindi huo, Man City inafikisha pointi 22 baada ya kucheza mechi 10, sasa ikizidiwa pointi tatu tu na Liverpool ambayo hata hivyo imecheza mechi tisa PICHA ZAIDI SOMA  HAPA