MchanganyikoTIMU YA UKAGUZI KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU YATEMBELEA MIRADI YA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA –LIC WILAYANI KAKONKO Last updated: 2019/10/26 at 3:41 AM Alex Sonna 5 years ago Share ???????????????????????????????????? SHARE Timu ya wagakuzi kutoka Kitengo cha ukaguzi wa ndani Ofisi ya Waziri Mkuu na watendaji wa Baraza la Taifa la Biashara wakimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara Local Investment Climate (LIC)) Bi.Imelda Hokororo akitoa amelezo kuhusu Kituo cha Biashara kilichojengwa na Taasisi hiyo Wilayani Kakonko Mkoa wa Kigoma, timu hiyo ilitembelea kukagua utekelezaji wa miradi hiyo Oktoba 24, 2019Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Maloda akizungumza jambo kwa Timu ya ukaguzi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu walipotembelea wilayani hapo kukagua miradi inayotekezwa na Mradi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara Local Investment Climate (LIC)) Kigoma.Msimamizi wa masuala ya Fedha kutoka Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Bw. Patrick Mavika akifafanua jambo kwa Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya Kakonko Bw. Christopher Bukombe (hayupo pichani) walipotembelea kukagua na kujionea utekeleza wa miradi hiyo Oktoba 24, 2019 Mkoani Kigoma.Kaimu Mkurugugenzi wa Wilaya Kakonko Bw. Christopher Bukombe akizungumza na timu kutoka Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na watendaji wa TNBC walipotembelea kukagua na kujionea utekeleza wa miradi hiyo Oktoba 24, 2019 Mkoani Kigoma.Mkulima wa zao la mpunga katika Wilaya ya Kakonso Bw. Silveter Mtondo ambaye ni miongoni mwa wanufaika wa Mradi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara Local Investment Climate (LIC)) akiwaonesha Timu ya wakaguzi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Baraza la Taifa la Biashara namna kifaa cha palizi ya mpunga kinavyotumika walipotembelea katika Wilaya hiyo.(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU) Alex Sonna October 26, 2019 October 26, 2019 Share this Article Facebook Twitter Email Print Previous Article PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 26,2019 Next Article MAJALIWA AWASILI NCHINI AZERBAIJAN KUMWAKILISHA JPM KATIKA MKUTANO WA NCHI ZISIZOFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE