Home Mchanganyiko Masauni asikiliza kero za Wananchi wa Kijiji cha Chikongo Wilayani Tandahimba Mkoani...

Masauni asikiliza kero za Wananchi wa Kijiji cha Chikongo Wilayani Tandahimba Mkoani Mtwara

0

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Chikongo wilayani Tandahimba wakati wa ziara ya kukagua utendaji  kazi wa idara zilizopo chini ya wizara mkoani Mtwara.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Mwananchi wa Kijiji cha Chikongo wilayani Tandahimba,Hassan Mkeli akimuuliza maswali Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(watatu kutoka kulia), wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Mwananchi wa Kijiji cha Chikongo wilayani Tandahimba, Stanley Alphonce  akimuuliza maswali Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani), wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.