Home Mchanganyiko DK.SHEIN AKUATANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA MJUMBE WA...

DK.SHEIN AKUATANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na mgeni wake Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha  Kikomunisti cha China (CCP) Nd,Guo Yezhou akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu] 25/10/2019.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha  Kikomunisti cha China (CCP)Nd,Guo Yezhou (wa tatu kulia) akiwa na Ujme aliofuatana nao wakati walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu] 25/10/2019.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akimsikiliza  mgeni wake Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha  Kikomunisti cha China (CCP)Nd,Guo Yezhou (kushoto) wakati wa mazungumzo yao leo akiwa na ujumbe wake  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar ,[Picha na Ikulu] 25/10/2019.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha  Kikomunisti cha China (CCP)Nd,Guo Yezhou wakati wa mazungumzo yao leo akiwa na ujumbe wake  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar ,[Picha na Ikulu] 25/10/2019.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha  Kikomunisti cha China (CCP) Nd,Guo Yezhou (kushoto) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe wake,[Picha na Ikulu] 25/10/2019.