Home Mchanganyiko MAJALIWA AKISALIMIANA NA RAIS WA URUSI VLADIMIR PUTIN

MAJALIWA AKISALIMIANA NA RAIS WA URUSI VLADIMIR PUTIN

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimaiana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika hafla ya kuwakaribisha Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya  Afrika  wanaoshiriki katika Mkutano baina ya Urusi na Afrika unaofanyika  Sochi nchini Urusi, Oktoba 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)