Home Michezo LIVERPOOL ,BARCELONA ZANG’RA UGENINI LIGI YA MABINGWA ULAYA

LIVERPOOL ,BARCELONA ZANG’RA UGENINI LIGI YA MABINGWA ULAYA

0

Kiungo Alex Oxlade-Chamberlain (kulia) akipongezwa na wenzake washambuliaji Sadio Mane na Roberto Firmino baada ya kuifungia Liverpoool mabao mawili katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, KRC Genk kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Luminus Arena PICHA ZAIDI SOMA  HAPA

Mshambuliaji Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Barcelona dakika ya tatu katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Slavia Prague kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Sinobo mjini Prague. Bao lingine la Barcelona lilifungwa na Peter Olayinka aliyejifunga dakika ya 57, wakati la Slavia Prague lilifungwa na Jan Boril dakika ya 50 na Messi sasa amefikisha mabao 113 ya kufunga kwenye Ligi ya Mabingwa sasa akimfuatia Cristiano Ronaldo anayeongoza kwa mabao yake 127 PICHA ZAIDI SOMA  HAPA