Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wanye ulemavu) Mheshimiwa Jenista Mhagama akiwasilisha Taarifa kuhusu Muundo na Majukumu ya Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi (NEEC) kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge).
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mheshimiwa Najma Giga akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa Kamati hiyo walipokutana na kupokea Taarifa kuhusu Muundo na Majukumu ya Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi (NEEC) iliyowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wanye ulemavu) Mheshimiwa Jenista Mhagama Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge).
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakifuatilia kwa karibu Taarifa kuhusu Muundo na Majukumu ya Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi (NEEC) iliyowasilishwa kwenye Kamati hiyo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wanye ulemavu) Mheshimiwa Jenista Mhagama Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge).