Home Michezo SHEFFIELD YAICHAPA 1-0 ARSENAL MECHI YA LIGI UINGEREZA

SHEFFIELD YAICHAPA 1-0 ARSENAL MECHI YA LIGI UINGEREZA

0

Wachezaji wa Arsenal, Calum Chambers, David Luiz na Sokratis Papastathopoulos wakiwa wanyonge baada ya kuruhusu bao la Lys Mousset dakika ya 30 wakifungwa 1-0 na wenyeji, Sheffield United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Bramall Lane mjini Sheffield PICHA ZAIDI SOMA HAPA