Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Balozi Joseph Sokoine akiwa katika kikao cha pamoja na Wageni kutoka Sweden waliotembelea Ofisi ya Makamu wa Rais, katika mji wa Serikali jijini Dodoma. Madhumuni ya ugeni huo ni kuelezea nia ya Kampuni ya ECO Sysytem International ya kusambaza teknolojia ya kisasa ya kupunguza uchafuzi wa hewa unaosababishwa na magari .Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Catherine Bamwenzaki akiangalia mfano wa kifaa kitakachotumika kwa ajili ya kupunguza uchafuzi wa hewa unaosababishwa na magari ya aina yote anyemuangalia ni Injinia Julius Enock kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Joseph Sokoine akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe Ofisi ya Makamu wa Rais, Wizara ya Mambo ya Nje pamoja na Mwekezaji kutoka Sweden waliohudhuria kikao hiko jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha (anayeshughulikia huduma za Hazina), Bw. Nsubili Joshua, akizungumza jambo wakati akifunga Mkutano wa 39 wa Baraza la Wafanyakazi…
Na Baltazar Mashaka, Mwanza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislamu Tanzania (JUWAKITA) Mkoa wa Mwanza, Amina Masenza, amewataka wazazi na walezi kushiriki kikamilifu katika…