MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza na wamiliki wapya wa  kiwanda cha Kuzalisha Saruji cha Rhino kilichopo Jijini Tanga ambao walifika ofisini kwake kujitambulisha wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji
MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kushoto akizungumza na wamiliki wapya wa  kiwanda cha Kuzalisha Saruji cha Rhino kilichopo Jijini Tanga ambao walifika ofisini kwake kujitambulisha kushoto  ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa

VIONGOZI mbalimbali wakifuatilia mazungumzo hayo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa na aliyevaa miwani kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji na Katibu Tawala wa wilaya ya Tanga (DAS) faidha Salim