Home Biashara Vodacom Tanzania PLC Yaendelea kupanua Huduma Mkoani Tabora

Vodacom Tanzania PLC Yaendelea kupanua Huduma Mkoani Tabora

0

Mgeni rasmi mwakilishi wa mkuu wa mkoa wa Tabora, Katibu Tawala msaidizi anayeshughulikia Utawala, Hamisi Mkunga akizungumza na wananchi katika hafla ya uzinduzi wa duka la Vodacom mjini Tabora.

Mgeni rasmi mwakilishi wa mkuu wa mkoa wa Tabora, Katibu Tawala msaidizi anayeshughulikia Utawala, Hamisi Mkunga akipata maelezo toka kwa wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom ndani ya duka 

Baadhi ya wateja wa kampuni ya Vodacom wakiendelea kupata huduma ndani ya duka jipya lililoko mjini Tabora 

Baadhi ya watumishi wa duka la Vodacom lililopo mjini Tabora wakifungua champagne wakati wa uzinduzi wa duka hilo.

Baadhi ya Watumishi wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania wakiwa katika maandamano ya amani wakati wa uzinduzi wa duka jipya la Vodacom mjini Tabora