Home Mchanganyiko MAJALIWA AKAGUA MAANDALIZI YA OFISI ZA MUDA ZA HALMASHAURI YA MTAMA

MAJALIWA AKAGUA MAANDALIZI YA OFISI ZA MUDA ZA HALMASHAURI YA MTAMA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Mtama baada ya kukagua maandalizi ya ofisi za muda za halmashauri hiyo Oktoba 17, 2019. Kushoto ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maandalizi ya Ofisi za muda za Halmashauri ya Mtama Oktoba 17, 2019. Wa pili kulia ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye na Wa tatu kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mtama, M. Matei.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maadalizi ya Ofisi za muda za Halmashauri ya Mtama mkoani, Lindi, Oktoba 17, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)