Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi akizungumza na wadau wa chakula wakati akifungua mdahalo uliohusu nafasi ya usindikaji wa chakula katika usalama wa chakula na lishe uliofanyika katika maonesho ya maadhimisho ya siku ya chakula duniani ambayo yanafanyika kitaifa mkoani Singida. Mdahalo huo uliandaliwa na Shirika lisilokuwa la kiserikali la Oxfam na kuwashirikisha wakina mama mashujaa wa chakula kutoka mikoa mbalimbali.
Wadau wa chakula wakiwa kwenye mdahalo huo.
Mratibu Mkazi wa Shirika la Agriprofocus, Ernest Likoko akizungumza katika mdahalo huo.
Wadau wa chakula wakiwa kwenye mdahalo huo.
Wadau wa chakula wakiwa kwenye mdahalo huo.
Mratibu Partnership for Aflatoxin Contro in Africa (PACA) Dkt.Happy Magoha akichangia mada katika mdahalo huo.
Mama Shujaa wa chakula 2015 kutoka Lushoto Tanga, Tatu Ramadhan akichabgia mada.
Mratibu wa masuala ya lishe Wizara ya Kilimo, Margaret Natai akichangia mada.
Senior Food $ Nutrition kutoka Shirika la Sema Singida, Titus Mkemwa akichangia mada.
Mjasiriamali Jesca Mbiri kutoka Wilaya ya Manyoni akichangia mada.
Karimu Juma kutoka Shirika la Sisipa Singida akichangia mada.
Afisa Mradi, Loserian Maoi kutoka Oxfam akichangia mada.
Afisa Ubora kutoka Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko, Idd Mkolamasa akichangia mada.
Hapa ni kazi tu
Mratibu ASAP II Wizara ya Kilimo, Vumilia Zikankuba akichangia mada.
Mjasiriamali Stella Masulya kutoka Ukerewe Mwanza akichangia mada.