Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Jimbo la Nzega vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Viongozi wa Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Isanzu jimbo la Nzega Vijijini wakati akihitimisha ziara yake ya jimbo kuhamasisha maendeleo, kuzungumza na wananchi na kutatua kero
Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Jimbo la Nzega vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla akitembelea Kata ya Mwasala wakati wa ziara yake ya jimbo ya kuhamasisha shughuli za maendeleo na kutatua kero za wananchi wa jimbo hilo.
Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Jimbo la Nzega vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Viongozi wa CCM wa Kata ya Wela jimbo la Nzega Vijijini wakati akihitimisha ziara yake ya jimbo ya kuhamasisha shughuli za maendeleo na kutatua kero za wananchi.
PICHA – Aron Msigwa –WMU, Nzega Vijijini.