Home Mchanganyiko KATIBU WA BUNGE NDG. STEPHEN KAGAIGAI AFUNGUA MAFUNZO YA NDANI KWA KAMATI...

KATIBU WA BUNGE NDG. STEPHEN KAGAIGAI AFUNGUA MAFUNZO YA NDANI KWA KAMATI INAYOHUSIKA NA KUZUIA NA KUFUATILIA VIHATARISHI KAZINI

0

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akifungua mafunzo ya ndani kwa kamati inayohusika na kuzuia na kufuatilia Vihatarishi kazini tukio lililofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Mkufunzi, Mtafiti na Mshauri kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe, Dkt. Ernest Mwasalwiba akiwasilisha maada wakati wa mafunzo ya ndani kwa kamati inayohusika na kuzuia na kufuatilia Vihatarishi kazini tukio lililofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu Msaidizi Ofisi ya Bunge Ndg. Peter Magati akizungumza jambo wakati wa mafunzo ya ndani kwa kamati inayohusika na kuzuia na kufuatilia Vihatarishi kazini tukio lililofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Wajumbe wa kamati ya kuzuia na kufuatilia vihatarishi kazini wakiwa katika mafunzo ya ndani yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)