Home Siasa MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAZEE WA WILAYA YA...

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAZEE WA WILAYA YA WETE PEMBA LEO

0

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Wete Pemba akiwa katika ziara yake, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jamuhuri Wete Pemba leo 12-10-2019.(Picha na Ikulu)

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa meza kuu baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano wa Jamuhuri Wete Pemba, wakati wa mkutano wake na Wazee wa CCM Wilaya ya Wete Pemba akiwa katika ziara yake Kisiwani Pemba leo 12-10-2019.(Picha na Ikulu)

WAZEE wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Wete Pemba wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mh.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa mkutano wake na Wazee hao uliofanyika katika ukumbi wa Jamuhuri Wete leo,12-10-2019.(Picha na Ikulu)

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kukabidhiwa risala ya Wazee wa CCM Wilaya ya Wete Pemba na Katibu wa CCM Wilaya ya Wete Pemba.Ndg,Salum Khamis Haji, wakati wa mkutano wa Wazee wa CCM Wilaya ya Wete Pemba uliofanyika katika ukumbi wa Jamuhuri Wete,kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr.Abdalla Juma Mabodi na kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba.Ndg.Mberwa Hamaad Mberwa.(Picha na Ikulu)

MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mzee Mberwa Hamad Mberwa akizungumza wakati wa mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  na Wazee wa CCM wa Wilaya Wete Pemba, uliofanyika katika ukumbi wa Jamuhuri Wete.(Picha na Ikulu)NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi akizungumza na Wazee wa CCM Wilaya ya Wete Pemba kabla ya kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,kuzungumza na Wazee hao katika ukumbi wa Jamuhuri Wete Pemba.(Picha na Ikulu)