*******************************
Wanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Kilomeni wilayani Same mkoani Kilimanjaro wamefanya mahafali leo shuleni hapo kwaajili ya kujiandaa na mitihani ijayo ya kumaliza kidato cha nne.
Hivyo timu nzima ya Fullshangweblog.co.tz inawatakiwa mafanikio katika mitihani yenu ya kumaliza kidato cha nne mungu awaongoze wakati wote wa mitihani yenu mpaka mtakapomaliza na kurejea majumbani mwenu Amen.