Home Mchanganyiko RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA MPANDA KATAVI MKOANI RUKWA

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA MPANDA KATAVI MKOANI RUKWA

0

Kwaya ya Manispaa ya Sumbawanga ikitumbuiza
mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika uwanja wa
Azimio mkoani Katavi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono
wananchi wa Mpanda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa
Azimio Mpanda mkoani Katavi kwa ajili ya kuwahutubia.

Kwaya ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari
Mpanda Girls wakitumbuiza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
kuwasili uwanjani hapo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi
katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Azimio Mpanda
mkoani Katavi.

6.Wanakwaya ya Agape wakitumbuiza katika uwanja
wa Azimio Mpanda mkoani Katavi mara baada ya Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli kuwasili uwanjani hapo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono
wananchi kuwaaga mara baada ya kuhutubia katika mkutano
uliofanyika katika uwanja wa Azimio Mpanda mkoani Katavi.

PICHA NA IKULU