MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamede Shein, akiwapungia mkono Wananchi wa Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua kuzungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Mkoani.MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Chakechake Pemba.Mhe. Suleiman Sarahani alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mohammede Juma Pindua Wilaya ya Mkoani.WAZEE wa CCM Wilaya ya Mkoani Pemba wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati akizungumza na Wazee hao katika ukumb wa Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Mkoni Pemba.NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi akizungumza na Wazee wa Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba kabla ya kumkaribisha mgeni rasimin Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba.????????????????????????????????????????????????????????????????????????WAZEE wa CCM Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa mkutano wake na Wazee hao uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Mkoani Pemba.????????????????????????????????????MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Mkoani, akiwa katika ziara yake PembaMZEE Issa Nassor Issa akichangia wakati wa mkutano wao na Makamu Mwenyekiti wa CC Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Mohammed Juma Pindua Mkoani Pemba.MZEE Mohammed Abass Mselem, akizungumza na kutowa shukrani kwa niaba ya Wazee wa CCM wa Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba wakati wa mkutano wao na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, yaliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Mkoani Pemba.(MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekitiu wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mzee Mohammed Abass Mselem, baada ya kutowa neno la shukrani kwa niaba ya Wazee wa CCM Wilaya ya Mkoani Pemba, katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Mkoani Pemba.(Picha na Ikulu)