Home Burudani CAT P APANIA KUFANYA MAKUBWA BAADA YA KUACHIA “USIKU”

CAT P APANIA KUFANYA MAKUBWA BAADA YA KUACHIA “USIKU”

0

**************

Msanii na Mtayarishaji wa Muziki wa Kizazi kipya hapa nchini, Rahim Mataja maalufu Cat P amewataka mashabiki wake waendelee kumpatia ushirikiano wa kutosha katika kazi zake kwani amepania kufanya makubwa kwenye tasnia hiyo.

Ameyasema hayo leo Cat P baada ya kutoa ngoma ambayo ameshirikishwa na msanii wa vichekesho hapa nchini Carpoza, wimbo huo unaokwenda kwa jina la “USIKU” ambayo video yake nimewasogezea hapo.