KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Ndg. Salum Maulid Salum akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya China National Research Institute of Food &Fermentation Industries ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Bw. Dong Jianhui kulia akiwa na ujumbe wake wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika leo  katika Ofisi ya Katibu Mkuu Zanzibar;   kushoto Naibu Katibu wa Rais Bi. Maryam Haji Mrisho  na Mkurugenzi wa Mawasilioano na Habari Ikulu Ndg. Hassan Khatib Hassan.(Picha na Ikulu)