Home Mchanganyiko Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, aweka jiwe la msingi, katika kituo cha kupozea...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, aweka jiwe la msingi, katika kituo cha kupozea umeme 400/220/33kV, Shinyanga, Singida Dodomana Iringa awamu ya pili

0

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,  akiweka jiwe la msingi, katika kituo cha kupozea umeme 400/220/33kV, Shinyanga, Singida Dodoma na Iringa awamu ya pili, eneo Misuna, katika Wilaya ya Singida Oktoba 5.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Meneja Mradi wa kituo cha kupozea umeme 400/220/33kV, Shinyanga, Singida Dodoma na Iringa awamu ya pili, Peter Kigadye, kabla ya kuweka jiwe la msingi la mradi huo, eneo Misuna, katika Wilaya ya Singida Oktoba 5.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).