Home Mchanganyiko MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MENEJMENTI YA OFISI...

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MENEJMENTI YA OFISI YAKE JIJINI DODOMA

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Menejmenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira katika kikao cha kazi ikiwemo Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Mazingira, kikao hicho kimefanyika leo Octoba 05,2019 katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba Jijini Dodoma.