Home Mchanganyiko TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAANDAA MAFUNZO YA KUTOA HUDUMA YA...

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAANDAA MAFUNZO YA KUTOA HUDUMA YA DHARULA KWA WAGONJWA WANAOHITAJI UANGALIZI MAALUM

0

Daktari Bingwa wa usingizi na wagonjwa walioko katika chumba  cha  uangalizi maalum (ICU) wa Taasisi ya mifupa MOI Asha Abdulla akitoa neno la shukrani wakati wa kufungwa kwa mafunzo ya siku mbili  ya kutoa huduma za dharula na jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum. Jumla ya washiriki 75 kutoka Hospitali za Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya Mifupa MOI, Amana, Mwananyamala, Temeke na Mloganzila walihudhuria mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Idara ya usingizi  na wagonjwa walioko katika uangalizi maalum.

Baadhi ya washiriki wa  mafunzo ya siku mbili  ya kutoa huduma za dharula na jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo. Jumla ya washiriki 75 kutoka Hospitali za Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya Mifupa MOI, Amana, Mwananyamala, Temeke na Mloganzila walihudhuria mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Idara ya usingizi  na wagonjwa walioko katika uangalizi maalum.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi Daktari Bingwa wa usingizi na wagonjwa walioko katika chumba  cha  uangalizi maalum (ICU) wa Taasisi ya mifupa MOI  Asha Abdulla cheti cha ushiriki wa  mafunzo ya siku mbili  ya kutoa huduma za dharula na jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum. Jumla ya washiriki 75 kutoka Hospitali za Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya Mifupa MOI, Amana, Mwananyamala, Temeke na Mloganzila walihudhuria mafunzo hayo yaliyoandaliwa na JKCI  Idara ya usingizi  na wagonjwa walioko katika uangalizi maalum.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi Daktari wa usingizi na wagonjwa walioko katika chumba  cha  uangalizi maalum (ICU) wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila Nsia Mushi heti cha ushiriki wa  mafunzo ya siku mbili  ya kutoa huduma za dharula na jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum. Jumla ya washiriki 75 kutoka Hospitali za Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya Mifupa MOI, Amana, Mwananyamala, Temeke na Mloganzila walihudhuria mafunzo hayo yaliyoandaliwa na JKCI  Idara ya usingizi  na wagonjwa walioko katika uangalizi maalum.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akieleza umuhimu wa   mafunzo ya kutoa huduma za dharula na jinsi ya kuwahudumia wagonjwa walioko katika chumba cha  uangalizi maalum (ICU) yanavyoweza kuokoa maisha ya mgonjwa. Jumla ya washiriki 75 kutoka Hospitali za Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya Mifupa MOI, Amana, Mwananyamala, Temeke na Mloganzila walihudhuria mafunzo hayo yaliyoandaliwa na JKCI  Idara ya usingizi  na wagonjwa walioko katika uangalizi maalum.

Picha na JKCI