Home Mchanganyiko MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KUBANGUA KOROSHO CHA YALIN CHA MTWARA

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KUBANGUA KOROSHO CHA YALIN CHA MTWARA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanawake waliokuwa wakibangua korosho wakati alipotembelea kiwanda cha kubangua korosho cha Yalin cha  Mtwara, Oktoba 2, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanawake waliokuwa wakibangua korosho wakati alipotembelea kiwanda cha kubangua korosho cha Yalin kilichopo   Mtwara, Oktoba 2, 2019. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius  Byakanwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).