Home Biashara HOTUBA YA NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA

HOTUBA YA NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA

0

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Stellah Manyanya akisisitiza Jambo
katika Mkutano wa Wadau (hawapo pichani), kuhusu Mfumo wa utoaji wa Taarifa za Kibiashara Nchini (TRADE INFROMATION MODULE) Uliofanyika leo, jijini Dar es Salaam.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Wakala wa Biashara na Leseni, Andrew Mkapa
akizungumza na Wadau wa Biashara (hawapo pichani) katika mkutano wa mfumo mpya wa utoaji wa taarifa za kibiashara nchini (TRADE INFORMATION MODULE) uliofanyika leo, jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE)
Edwin Rutageruka (Kulia) na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu, Wakala wa Usajili wa
Biashara na Leseni (BRELA), Andrew Mkapa (kushoto), wakisikiliza kwa umakini
hotuba ya Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Stellah Manyanya (hayupo
Pichani) katika Mkutano wa Wadau kuhusu Mfumo wa utoaji wa Taarifa za
Kibiashara Nchini (TRADE INFROMATION MODULE) Uliofanyika leo, jijini Dar es
Salaam.