Home Burudani Ali Kiba apagawisha sherehe za miaka sita ya ‘Six Degrees South’

Ali Kiba apagawisha sherehe za miaka sita ya ‘Six Degrees South’

0

MSANII wa Bongo Flava Ali Kiba (King Kiba) akitowa burudani wakati wa hafla ya kusherehekea miaka 6 ya Mgahawa wa  Six Degrees South, mitaa ya Mji Mkongwe wa Zanzibar.(Picha na Othman Maulid).

MSANII wa Kizazi Kipya Bongo Flava King Kiba Ali Kiba akilishambulia jukwaa la mgahawa wa Six Degrees South Shangani Jijini Zanzibar, wakati wa hafla hiyoiliofanyika jana usiku.(Picha na Othman Maulid)