Home Biashara Naibu Waziri Stella Manyanya atembelea maonesho ya Tamasha la JAMAFEST

Naibu Waziri Stella Manyanya atembelea maonesho ya Tamasha la JAMAFEST

0

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya akizunguka katika mabanda mbalimbali wakati alipotembelea maonesho ya Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki hii leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya akiangalia moja ya bidhaa wakati alipotembelea maonesho ya Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki hii leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya (kulia) akiangalia stuli iliyotengenezwa na mlemavu wa macho wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea maonesho ya Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki hii leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya (kulia) akifafanua jambo kwa fundi wa kushona nguo ambaye ni mlemavu wa macho wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea maonesho ya Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki hii leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya akishika pembe za mnyama swala katika banda la Wizara ya Maliasili na Utalii wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea maonesho ya Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki hii leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki.