Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Anthony Sanga akipokelewa na Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Prof.Kitila Mkumbo , ofisini kwake katika mji wa serikali, Mtumba jijini Dodoma

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Anthony Sanga akisaini kitabu ofisini kwake mara baada ya kuripoti na kuanza kazi

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Anthony Sanga akiwa na Katibu Mkuu wa wizara Prof.Kitila Mkumbo muda mfupi baada ya kapokelewa Wizara ya Maji, Jijini Dodoma

Menejimenti na baadhi ya watumishi wa Wizara ya Maji wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu mhandisi Anthony Sanga na Katibu Mkuu Prof. Kitila Mkumbo, katika ofisi za Wizara ya Maji, Mtumba jijini Dodoma