Home Mchanganyiko DK.SHEIN NA UJUMBE WAKE WATEMBELEA KIWANDA CHA CHA UCHIMBAJI WA MAFUTA NA...

DK.SHEIN NA UJUMBE WAKE WATEMBELEA KIWANDA CHA CHA UCHIMBAJI WA MAFUTA NA GESI (RAK GES)

0

Baadhi ya Ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa mèneja uzalishaji wa kampuni ya Rak Gas (hatupo pichani) wakati ujumbe huo ulipofanyaziara katika Kiwanda hicho wakiwa katika ziara ya Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh.Dk Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Kampuni ya Kimataifa ya Uchimbaji wa Mafuta na Gesi Asilia cha Ras Al Khaimah (RAK GAS) Peter Deibel (kushoto) wakati alipotembelea kiwanda hicho katika ziara Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Mwangalizi Mkuu wa Uzalishaji wa kiwanda cha Kampuni ya Kimataifa ya Uchimbaji wa Mafuta na Gesi  Asilia cha Ras Al Khaimah (RAK GAS) Deepu Thomas (kulia)akimueleza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein jinsi ya kiwanda hicho kinavyoendesha shughuli zake za uzalishaji wa Gesi wakati Mh.Rais alipofanya ziara katika kiwanda  katika ziara Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Picha na Ikulu