Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto) akimuuliza swali
mshiriki kutoka nchini Uganda wakati waziri huyo alipotembelea kujionea Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki(JAMAFEST) linaloendelea hii leo Septemba 24, 2019 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akiangalia nguo ya batiki
toka kwa wajasiriamali wa nchini Tanzania wakati waziri huyo alipotembelea kujionea Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki(JAMAFEST) linaloendelea hii leo Septemba 24, 2019 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akiangalia mkoba
uliotengenezwa kwa kifuu cha nazi toka kwa wajasiriamali wa nchini Tanzania wakati waziri huyo alipotembelea kujionea Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki(JAMAFEST) linaloendelea hii leo Septemba 24, 2019 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akimuangalia Mzee
Abdallah Nyangalio fundi cherehani asiye ona wakati waziri huyo alipotembelea
kujionea Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki(JAMAFEST) linaloendelea hii leo Septemba 24, 2019 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Picha na WHUSM – Dar es Salaam
24 Septemba, 2019