Home Michezo MESSI ANYAKUA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA

MESSI ANYAKUA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA

0

*************************

NA EMMANUEL MBATILO

Straika wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi amenyakua tuzo ya mwanasoka bora wa Dunia katika Usiku wa Tuzo za FIFA uliohitimishwa muda mfupi uliopita Jijini Milan, nchini Italia.

Nyota huyo amewashinda wachezaji wenzake ambao walikuwa wanawania tuzo hiyo Cristiano Ronaldo wa Juventus na timu ya taifa ya Ureno na Virgil van Dijk wa Liverpool na timu ya taifa ya Uholanzi.