Home Burudani Matukio Mbalimbali Katika Picha Tamasha la JAMAFEST 2019

Matukio Mbalimbali Katika Picha Tamasha la JAMAFEST 2019

0

Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki toka nchi ya Kenya na Tanzania wakishindana kuvuta kamba wakati wa tamasha hilo linaloendelea hii leo Septemba 24, 2019 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki toka nchi ya Tanzania wakishangilia mara baada ya kuibuka na ushindi wa kuvuta kamba kwa wanawake dhidi ya Kenya wakati wa tamasha hilo linaloendelea hii leo Septemba 24, 2019 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki toka nchi ya Tanzania wakishindana kuvuta kamba na wenzao wa Kenya (hawapo pichani) wakati wa tamasha hilo linaloendelea hii leo Septemba 24, 2019 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki toka nchi ya Kenya wakishangilia mara baada ya kuibuka na ushindi wa kuvuta kamba kwa wanaume  dhidi ya Tanzania wakati wa tamasha hilo linaloendelea hii leo Septemba 24, 2019 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki toka nchi ya Tanzania wakioneshana ubabe katika mchezo wa mieleka wakati wa tamasha hilo linaloendelea hii leo Septemba 24, 2019 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki toka nchi ya Tanzania wakioneshana ubabe katika mchezo wa bao wakati wa tamasha hilo linaloendelea  hii leo Septemba 24, 2019 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki toka nchi ya Tanzania wakichuana  katika mchezo wa mdako wakati wa tamasha hilo linaloendelea hii leo Septemba 24, 2019 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki toka nchi ya Kenya wakichuana  katika mchezo wa pia wakati wa tamasha hilo linaloendelea hii leo Septemba 24, 2019 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.