Home Uncategorized WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB WAADHIMISHA SIKU YA USAFI DUNIANI KWA KUFANYA...

WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB WAADHIMISHA SIKU YA USAFI DUNIANI KWA KUFANYA USAFI

0

Katika kuadhimisha siku ya usafi duniani wafanyakazi wa benki ya NMB wameshiriki kufanya usafi katika maeneo mbalimbali nchini kote tanzama matukio ya picha katika mikoa na maeneo mbalimbali zikionesha wafanyakazi hao wakifanya usafi.

Wafanyakazi wa benki ya NMB Kanda ya Mashariki wakiendelea na usafi.

Wafanyakazi wa benki ya NMB Kanda ya Mashariki wakiendelea na usafi.

Wafayakazi wa benki ya NMB Tarime Mkoani Mara wakiendelea wakifanya  usafi jana katika mji wa huo.

Wafanayakazi wa benki ya NMB tawi la Sengerema mkoani Mwanza nao walishiriki katika kufanya usafi kwenye mji huo.

Wafanayakazi wa benki ya NMB tawi la Kalius mkoa wa Tabora  nao walishiriki katika kufanya usafi kwenye mji huo

Wafanyakazi wa NMB Kanda ya Dar es salaam nao walifanya usafi jijini Dar es salaam.